Hesabu 5:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.” Biblia Habari Njema - BHND Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mumewe hatakuwa na hatia yoyote, lakini mwanamke atawajibika kwa uovu wake.” Neno: Bibilia Takatifu Mume atakuwa hana hatia ya kosa lolote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ” Neno: Maandiko Matakatifu Mume atakuwa hana hatia ya kosa lolote, bali mwanamke atayachukua matokeo ya dhambi yake.’ ” BIBLIA KISWAHILI Na huyo mume atakuwa hana uovu, na mwanamke atauchukua uovu wake. |
Tazama, roho zote ni mali yangu; kama vile roho ya baba ni mali yangu, ndivyo ilivyo roho ya mwana mali yangu; roho ile itendayo dhambi itakufa.
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
au, roho ya wivu ikimwingia mtu mume, naye akamwonea wivu mkewe; ndipo atakapomweka huyo mwanamke mbele za BWANA, na kuhani atatenda juu yake sheria hii yote.
Lakini mtu aliye safi, wala hakuwa katika safari, naye amekosa kuishika Pasaka, mtu huyo atatengwa na watu wake; kwa sababu hakumtolea BWANA matoleo kwa wakati wake ulioamriwa, mtu huyo atachukua dhambi yake.