Na Eleazari mwana wa Haruni kuhani atakuwa mkuu wa hao wakuu wa Walawi, naye atawasimamia hao wahudumu wa mahali patakatifu.
Hesabu 4:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC hata wale waliohesabiwa kwao, kwa jamaa zao na nyumba za baba zao, walikuwa elfu mbili na mia sita na thelathini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ilikuwa watu 2,630. Biblia Habari Njema - BHND ilikuwa watu 2,630. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ilikuwa watu 2,630. Neno: Bibilia Takatifu waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa elfu mbili na mia sita na thelathini (2,630). Neno: Maandiko Matakatifu waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630. BIBLIA KISWAHILI hata wale waliohesabiwa kwao, kwa jamaa zao na nyumba za baba zao, walikuwa elfu mbili na mia sita na thelathini. |
Na Eleazari mwana wa Haruni kuhani atakuwa mkuu wa hao wakuu wa Walawi, naye atawasimamia hao wahudumu wa mahali patakatifu.
kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi, kwa kazi katika hema ya kukutania,
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za wana wa Gershoni, wote waliotumika katika hema ya kukutania, ambao Musa na Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA.