na wale waliohesabiwa kwa nasaba ya makuhani kufuata nyumba za baba zao, na Walawi, wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, katika sehemu yao, kwa kadiri ya zamu zao;
Hesabu 4:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na hao waliohesabiwa katika wana wa Gershoni, kwa jamaa zao na nyumba za baba zao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Idadi ya watu wa ukoo wa Gershoni kufuatana na familia zao, Biblia Habari Njema - BHND Idadi ya watu wa ukoo wa Gershoni kufuatana na familia zao, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Idadi ya watu wa ukoo wa Gershoni kufuatana na familia zao, Neno: Bibilia Takatifu Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao. Neno: Maandiko Matakatifu Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao. BIBLIA KISWAHILI Na hao waliohesabiwa katika wana wa Gershoni, kwa jamaa zao na nyumba za baba zao, |
na wale waliohesabiwa kwa nasaba ya makuhani kufuata nyumba za baba zao, na Walawi, wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, katika sehemu yao, kwa kadiri ya zamu zao;
Hao waliohesabiwa kwao, kama hesabu ya wanaume wote, kuanzia umri wa mwezi mmoja na zaidi, hao waliohesabiwa kwao walikuwa elfu saba na mia tano.
Hao ndio waliohesabiwa katika jamaa za Wakohathi, wote waliotumika katika hema ya kukutania, ambao Musa na Haruni waliwahesabu kwa amri ya BWANA kwa mkono wa Musa.
kuanzia wenye umri wa miaka thelathini na zaidi, hadi umri wa miaka hamsini, kila mtu aliyeingia katika utumishi, kwa kazi katika hema ya kukutania,