Hesabu 4:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Fanya hesabu za wana wa Gershoni nao, kwa nyumba za baba zao, na jamaa zao; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Wahesabu watu wa ukoo wa Gershoni, kufuatana na familia na koo zao; Biblia Habari Njema - BHND “Wahesabu watu wa ukoo wa Gershoni, kufuatana na familia na koo zao; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Wahesabu watu wa ukoo wa Gershoni, kufuatana na familia na koo zao; Neno: Bibilia Takatifu “Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao. Neno: Maandiko Matakatifu “Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao. BIBLIA KISWAHILI Fanya hesabu za wana wa Gershoni nao, kwa nyumba za baba zao, na jamaa zao; |
Katika Gershoni walikuwa jamaa ya Walibni, na jamaa ya Washimei, hawa ndio jamaa za Wagershoni.
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini utawahesabu; wote watakaoingia kutumika, ili kufanya kazi katika hema ya kukutania.