Hesabu 34:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Katika wana wa Yusufu; katika kabila la wana wa Manase, mkuu, Hanieli mwana wa Efodi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Manase mwanawe Yosefu, Hanieli mwana wa Efodi. Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Manase mwanawe Yosefu, Hanieli mwana wa Efodi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Manase mwanawe Yosefu, Hanieli mwana wa Efodi. Neno: Bibilia Takatifu Hanieli mwana wa Efodi, kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yusufu; Neno: Maandiko Matakatifu Hanieli mwana wa Efodi, kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yusufu; BIBLIA KISWAHILI Katika wana wa Yusufu; katika kabila la wana wa Manase, mkuu, Hanieli mwana wa Efodi; |