Basi wakamwendea karibu, na kusema, Sisi tutafanya mazizi hapa kwa ajili ya mifugo yetu, na kujenga miji kwa ajili ya watoto wetu;
Hesabu 34:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na katika kabila la wana wa Dani, mkuu, Buki mwana wa Yogli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Dani, Buki mwana wa Yogli. Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Dani, Buki mwana wa Yogli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Dani, Buki mwana wa Yogli. Neno: Bibilia Takatifu Buki mwana wa Yogli, kiongozi kutoka kabila la Dani; Neno: Maandiko Matakatifu Buki mwana wa Yogli, kiongozi kutoka kabila la Dani; BIBLIA KISWAHILI Na katika kabila la wana wa Dani, mkuu, Buki mwana wa Yogli. |
Basi wakamwendea karibu, na kusema, Sisi tutafanya mazizi hapa kwa ajili ya mifugo yetu, na kujenga miji kwa ajili ya watoto wetu;