Hesabu 33:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, palipo katika mwisho wa nyika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Sukothi, walipiga kambi yao huko Ethamu, ukingoni mwa jangwa. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa. BIBLIA KISWAHILI Kisha wakasafiri kutoka Sukothi, wakapiga kambi Ethamu, palipo katika mwisho wa nyika. |
Wakasafiri kutoka Ethamu, na kurudi nyuma hata Pi-hahirothi palipokabili Baal-sefoni; wakapiga kambi mbele ya Migdoli.