Hesabu 33:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakasafiri kutoka Obothi, wakapiga kambi Lye-abarimu, katika mpaka wa Moabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka Obothi, wakapiga kambi Iye-abarimu, katika mpaka wa Moabu. |
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua.