Wakasafiri kutoka Punoni, wakapiga kambi Obothi.
Kutoka Punoni, walipiga kambi yao Obothi.
Wakaondoka Punoni, wakapiga kambi huko Obothi.
Kisha wana wa Israeli wakasafiri, wakapiga kambi Obothi.
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika jangwa lililoelekea Moabu, upande wa maawio ya jua.
Wakasafiri kutoka Salmona, wakapiga kambi Punoni.
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapiga kambi Lye-abarimu, katika mpaka wa Moabu.