Wakasafiri kutoka Salmona, wakapiga kambi Punoni.
Kutoka Salmona, walipiga kambi yao Punoni.
Wakaondoka Salmona, wakapiga kambi huko Punoni.
Nao wakasafiri kutoka mlima wa Hori, wakapiga kambi Salmona.
Wakasafiri kutoka Punoni, wakapiga kambi Obothi.