Wakasafiri kutoka mlima wa Hori kwa njia ya Bahari ya Shamu; ili kuizunguka nchi ya Edomu, watu wakafa moyo kwa sababu ya ile njia.
Hesabu 33:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nao wakasafiri kutoka mlima wa Hori, wakapiga kambi Salmona. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Mlima Hori, Waisraeli walipiga kambi yao Salmona. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Mlima Hori, Waisraeli walipiga kambi yao Salmona. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Mlima Hori, Waisraeli walipiga kambi yao Salmona. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka kwenye mlima Hori na kupiga kambi huko Salmona. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka kwenye mlima Hori na kupiga kambi huko Salmona. BIBLIA KISWAHILI Nao wakasafiri kutoka mlima wa Hori, wakapiga kambi Salmona. |
Wakasafiri kutoka mlima wa Hori kwa njia ya Bahari ya Shamu; ili kuizunguka nchi ya Edomu, watu wakafa moyo kwa sababu ya ile njia.
Ndipo Mkanaani, mfalme wa Aradi, aliyekaa pande za Negebu katika nchi ya Kanaani akasikia habari za kuja kwao wana wa Israeli.