Huyo Musa alikuwa ni mtu wa miaka themanini umri wake, na Haruni alikuwa ni mtu wa miaka themanini na mitatu, hapo waliponena na Farao.
Hesabu 33:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye Haruni alikuwa mtu wa umri wa miaka mia moja ishirini na mitatu hapo alipokufa katika mlima wa Hori. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori. Biblia Habari Njema - BHND Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori. Neno: Bibilia Takatifu Haruni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka mia moja ishirini na tatu (123). Neno: Maandiko Matakatifu Haruni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123. BIBLIA KISWAHILI Naye Haruni alikuwa mtu wa umri wa miaka mia moja ishirini na mitatu hapo alipokufa katika mlima wa Hori. |
Huyo Musa alikuwa ni mtu wa miaka themanini umri wake, na Haruni alikuwa ni mtu wa miaka themanini na mitatu, hapo waliponena na Farao.
Haruni akakwea mlima wa Hori, kwa amri ya BWANA, akafa hapo, katika mwaka wa arubaini baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, mwezi wa tano, siku ya kwanza ya mwezi.
Ndipo Mkanaani, mfalme wa Aradi, aliyekaa pande za Negebu katika nchi ya Kanaani akasikia habari za kuja kwao wana wa Israeli.