Wakasafiri kutoka Yotbatha, wakapiga kambi Abrona.
Kutoka Yot-batha, walipiga kambi yao Abrona.
Wakaondoka Yotbatha na kupiga kambi huko Abrona.
Wakasafiri kutoka Hor-hagidgadi, wakapiga kambi Yotbatha.
Wakasafiri kutoka Abrona, wakapiga kambi Esion-geberi.
Wakasafiri kutoka huko kwenda Gudgoda; wakatoka Gudgoda wakaenda Yotbatha, nayo ni nchi ya vijito vya maji.