Wakasafiri kutoka Makelothi, wakapiga kambi Tahathi.
Kutoka Makelothi, walipiga kambi yao huko Tahathi.
Wakaondoka Makelothi na kupiga kambi huko Tahathi.
Wakasafiri kutoka Harada, wakapiga kambi Makelothi.
Wakasafiri kutoka Tahathi wakapiga kambi Tera.