Wakasafiri kutoka Harada, wakapiga kambi Makelothi.
Kutoka Harada, walipiga kambi yao huko Makelothi.
Wakaondoka Harada na kupiga kambi huko Makelothi.
Wakasafiri kutoka huo mlima wa Sheferi, wakapiga kambi Harada.
Wakasafiri kutoka Makelothi, wakapiga kambi Tahathi.