Wakasafiri kutoka Keheletha, wakapiga kambi katika mlima wa Sheferi
Kutoka Kehelatha, walipiga kambi yao kwenye Mlima Sheferi.
Wakaondoka Kehelatha na kupiga kambi kwenye mlima Sheferi.
Wakasafiri kutoka Risa, wakapiga kambi Keheletha.
Wakasafiri kutoka huo mlima wa Sheferi, wakapiga kambi Harada.