Wakasafiri kutoka Risa, wakapiga kambi Keheletha.
Waliondoka Risa, wakapiga kambi yao huko Kehelatha.
Wakaondoka Risa na kupiga kambi huko Kehelatha.
Wakasafiri kutoka Libna, wakapiga kambi Risa.
Wakasafiri kutoka Keheletha, wakapiga kambi katika mlima wa Sheferi