Basi yule kamanda akarudi, akamkuta mfalme wa Ashuru anapigana vita juu ya Libna; kwa maana alikuwa amesikia ya kwamba ameondoka, akaacha Lakishi.
Hesabu 33:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakasafiri kutoka Rimon-peresi, wakapiga kambi Libna. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Rimon-perezi, walipiga kambi yao huko Libna. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Rimon-perezi, walipiga kambi yao huko Libna. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Rimon-perezi, walipiga kambi yao huko Libna. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka Rimon-Peresi na kupiga kambi huko Libna. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka Rimon-Peresi na kupiga kambi huko Libna. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka Rimon-peresi, wakapiga kambi Libna. |
Basi yule kamanda akarudi, akamkuta mfalme wa Ashuru anapigana vita juu ya Libna; kwa maana alikuwa amesikia ya kwamba ameondoka, akaacha Lakishi.
Basi Musa akawatuma watu elfu wa kila kabila waende vitani, wao na Finehasi mwana wa Eleazari kuhani, waende vitani, na vile vyombo vya mahali patakatifu, na hizo tarumbeta za kupiga sauti za kugutusha mkononi mwake.
Haya ndiyo maneno Musa aliyowaambia Israeli wote ng'ambo ya Yordani nyikani, katika Araba lililoelekea Sufu, kati ya Parani, na Tofeli, na Labani, na Hazerothi, na Dizahabu.
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Makeda, mpaka Libna, na Israeli wote pamoja naye, nao wakapiga Libna;