Wakasafiri kutoka Rithma, wakapiga kambi Rimon-peresi.
Kutoka Rithma, walipiga kambi yao huko Rimon-perezi.
Wakaondoka Rithma na kupiga kambi huko Rimon-Peresi.
Wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi Rithma.
Wakasafiri kutoka Rimon-peresi, wakapiga kambi Libna.
Aini, Rimoni, Etheri na Ashani; miji minne, pamoja na vijiji vyake;