Wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi Rithma.
Kutoka Haserothi, walipiga kambi yao huko Rithma.
Wakaondoka Haserothi na kupiga kambi huko Rithma.
Baada ya hayo watu wakasafiri kutoka Haserothi, wakapiga kambi katika nyika ya Parani.
Wakasafiri kutoka Kibroth-hataava, wakapiga kambi Haserothi.
Wakasafiri kutoka Rithma, wakapiga kambi Rimon-peresi.