Kisha wakasafiri kutoka Elimu, na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikia jangwa la Sini, lililoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri.
Hesabu 33:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakasafiri kutoka Refidimu, wakapiga kambi katika nyika ya Sinai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waliondoka Refidimu wakapiga kambi yao katika jangwa la Sinai. Biblia Habari Njema - BHND Waliondoka Refidimu wakapiga kambi yao katika jangwa la Sinai. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waliondoka Refidimu wakapiga kambi yao katika jangwa la Sinai. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka Refidimu, wakapiga kambi katika nyika ya Sinai. |
Kisha wakasafiri kutoka Elimu, na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikia jangwa la Sini, lililoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri.
Wana wa Israeli wakasafiri kwenda mbele, kwa safari zao kutoka jangwa la Sinai; na hilo wingu likakaa katika jangwa la Parani.