Wakasafiri kutoka Dofka, wakapiga kambi Alushi.
Kutoka Dofka walipiga kambi yao huko Alushi.
Wakaondoka Dofka, wakapiga kambi huko Alushi.
Wakasafiri kutoka nyika ya Sini, wakapiga kambi Dofka.
Wakasafiri kutoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa.