Kisha wakasafiri kutoka Elimu, na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikia jangwa la Sini, lililoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri.
Hesabu 33:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wakasafiri kutoka Bahari ya Shamu, wakapiga kambi katika nyika ya Sini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini. Neno: Bibilia Takatifu Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini. BIBLIA KISWAHILI Wakasafiri kutoka Bahari ya Shamu, wakapiga kambi katika nyika ya Sini. |
Kisha wakasafiri kutoka Elimu, na mkutano wote wa wana wa Israeli wakafikia jangwa la Sini, lililoko kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri.