Na mwaka wa kumi na nne akaja Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye, wakawapiga Warefai katika Ashteroth-karnaimu, na Wazuzi katika Hamu, na Waemi katika Shawe-kiryathaimu,
Hesabu 32:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Reubeni wakajenga Heshboni, na Eleale, na Kiriathaimu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Gadi lilijenga miji ya Heshboni, Eleale, Kiriathaimu, Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Gadi lilijenga miji ya Heshboni, Eleale, Kiriathaimu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Gadi lilijenga miji ya Heshboni, Eleale, Kiriathaimu, Neno: Bibilia Takatifu Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu, Neno: Maandiko Matakatifu Nao Wareubeni wakajenga upya miji ya Heshboni, Eleale na Kiriathaimu, BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Reubeni wakajenga Heshboni, na Eleale, na Kiriathaimu; |
Na mwaka wa kumi na nne akaja Kedorlaoma na wafalme waliokuwa pamoja naye, wakawapiga Warefai katika Ashteroth-karnaimu, na Wazuzi katika Hamu, na Waemi katika Shawe-kiryathaimu,
Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.
Kuhusu Moabu. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ole wake Nebo! Kwa maana umeharibika; Kiriathaimu umeaibishwa, umetwaliwa; Misgabu umeaibishwa, nao umebomolewa.
Toka kilio cha Heshboni mpaka Eleale, naam, mpaka Yahasa, wametoa sauti zao, toka Soari mpaka Horonaimu, hata Eglath-shelishia; maana maji ya Nimrimu nayo yatakuwa ukiwa.
basi, tazama, nitawafunulia wana wa mashariki ubavu wa Moabu toka miji yake, toka miji yake iliyo mipakani mwake, utukufu wa nchi hiyo, Beth-yeshimothi, na Baal-meoni, na Kiriathaimu,
Kwa hiyo, hao wanenao kwa mithali wasema, Njoni Heshboni, Mji wa Sihoni na ujengwe na kuthibitishwa;
Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,
na Nebo, na Baal-meoni, (majina yake yalikuwa yamegeuzwa) na Sibma; nao wakaiita miji waliyoijenga majina mengine.