Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,
Hesabu 32:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na, Beth-nimra, na Beth-harani; miji yenye maboma, na mazizi ya kondoo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Beth-nimra na Beth-harani, miji yenye ngome na mazizi ya kondoo. Biblia Habari Njema - BHND Beth-nimra na Beth-harani, miji yenye ngome na mazizi ya kondoo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Beth-nimra na Beth-harani, miji yenye ngome na mazizi ya kondoo. Neno: Bibilia Takatifu Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo. Neno: Maandiko Matakatifu Beth-Nimra na Beth-Harani kama miji iliyozungushiwa ngome, tena wakajenga mazizi kwa ajili ya makundi yao ya mbuzi na kondoo. BIBLIA KISWAHILI na, Beth-nimra, na Beth-harani; miji yenye maboma, na mazizi ya kondoo. |
Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,
tena katika bonde, Beth-haramu, na Bethnimira, na Sukothi, na Safoni, hiyo iliyosalia ya ufalme wa Sihoni mfalme wa Heshboni, yaani mto wa Yordani na kingo zake, mpaka mwisho wa bahari ya Kinerethi ng'ambo ya pili ya Yordani upande wa mashariki.