Wakavuka Yordani, wakapiga kambi huko Aroeri, upande wa kulia wa mji ulioko kati ya bonde la Gadi, na mpaka Yazeri;
Hesabu 32:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na Atrothi-shofani, na Yazeri, na Yogbeha; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Atroth-shofani, Yazeri, Yogbeha, Biblia Habari Njema - BHND Atroth-shofani, Yazeri, Yogbeha, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Atroth-shofani, Yazeri, Yogbeha, Neno: Bibilia Takatifu Atroth-Shofani, Yazeri, Yogbeha, Neno: Maandiko Matakatifu Atroth-Shofani, Yazeri, Yogbeha, BIBLIA KISWAHILI na Atrothi-shofani, na Yazeri, na Yogbeha; |
Wakavuka Yordani, wakapiga kambi huko Aroeri, upande wa kulia wa mji ulioko kati ya bonde la Gadi, na mpaka Yazeri;
Maana mashamba ya Heshboni yamenyauka, na mzabibu wa Sibma; mabwana wa mataifa wameyavunja matawi yake mateule; yamefika hadi Yazeri, yalitangatanga hadi jangwani matawi yake yalitapakaa, yaliivuka bahari.
Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa mifugo wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;
Atarothi, na Diboni, na Yazeri, na Nimra, na Heshboni, na Eleale, na Sebamu, na Nebo na Beoni,
Basi Gideoni alikwea kwa njia iliyotumiwa na misafara, ambayo ilikuwa mashariki mwa Noba na Yogbeha, akalishambulia hilo jeshi; kwa maana lile jeshi halikuwa na hadhari.