lakini sisi watumishi wako tutavuka, kila mwanamume aliyevaa silaha za vita, mbele za BWANA, tuende vitani, kama wewe bwana wangu usemavyo.
Hesabu 32:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi Musa akamwagiza Eleazari kuhani, na Yoshua mwana wa Nuni, na wakuu wa nyumba za mababa za makabila ya wana wa Israeli, kuhusu watu hao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mose akatoa amri zifuatazo kwa kuhani Eleazari, kwa Yoshua mwana wa Nuni, na kwa viongozi wa jamaa za makabila ya Waisraeli: Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mose akatoa amri zifuatazo kwa kuhani Eleazari, kwa Yoshua mwana wa Nuni, na kwa viongozi wa jamaa za makabila ya Waisraeli: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mose akatoa amri zifuatazo kwa kuhani Eleazari, kwa Yoshua mwana wa Nuni, na kwa viongozi wa jamaa za makabila ya Waisraeli: Neno: Bibilia Takatifu Kisha Musa akatoa amri kuwahusu kwa kuhani Eleazari, na Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa jamaa za makabila ya Israeli. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Musa akatoa amri kuhusu wao kwa kuhani Eleazari, na Yoshua mwana wa Nuni na viongozi wa jamaa za makabila ya Waisraeli. BIBLIA KISWAHILI Basi Musa akamwagiza Eleazari kuhani, na Yoshua mwana wa Nuni, na wakuu wa nyumba za mababa za makabila ya wana wa Israeli, kuhusu watu hao. |
lakini sisi watumishi wako tutavuka, kila mwanamume aliyevaa silaha za vita, mbele za BWANA, tuende vitani, kama wewe bwana wangu usemavyo.
Musa akawaambia, Kwamba wana wa Gadi, na wana wa Reubeni, watavuka Yordani pamoja nanyi, kila mtu akiwa amevaa silaha kwa vita, mbele za BWANA, nayo nchi itashindwa mbele yenu; ndipo mtawapa nchi ya Gileadi kuwa milki yao;
Likumbukeni neno lile alilowaamuru Musa mtumishi wa BWANA, akisema, BWANA, Mungu wenu, anawapa ninyi raha, naye atawapa nchi hii.