Hesabu 31:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nao wakapigana na Midiani kama BWANA alivyomwagiza Musa; nao wakawaua kila mwanamume. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote. Biblia Habari Njema - BHND Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waliishambulia nchi ya Midiani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, wakawaua wanaume wote. Neno: Bibilia Takatifu Walipigana dhidi ya Wamidiani, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa, nao waliua kila mwanaume. Neno: Maandiko Matakatifu Walipigana dhidi ya Wamidiani, kama bwana alivyomwagiza Musa, nao waliua kila mwanaume. BIBLIA KISWAHILI Nao wakapigana na Midiani kama BWANA alivyomwagiza Musa; nao wakawaua kila mwanamume. |
Na jambo mtakalotenda ni hili; mtamwangamiza kila mwanamume kabisa, na kila mwanamke ambaye amelala na mwanamume.
Wakati huo Wamidiani na Waamaleki, na hao wana wa mashariki walikutana pamoja; wakavuka na kupanga hema zao katika bonde la Yezreeli.
Tena Daudi akaipiga nchi hiyo, asimhifadhi hai mume wala mke, akateka nyara kondoo, na ng'ombe, na punda, na ngamia na mavazi; kisha akarejea na kufika kwa Akishi.