Hesabu 31:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Musa na Eleazari kuhani wakafanya kama BWANA alivyomwagiza Musa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose na kuhani Eleazari walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Biblia Habari Njema - BHND Mose na kuhani Eleazari walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose na kuhani Eleazari walifanya kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo Musa na kuhani Eleazari wakafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo Musa na kuhani Eleazari wakafanya kama bwana alivyomwagiza Musa. BIBLIA KISWAHILI Musa na Eleazari kuhani wakafanya kama BWANA alivyomwagiza Musa. |
Basi wana wa Israeli wakaenda na kufanya mambo hayo; vile vile kama BWANA alivyowaamuru Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
Na katika hiyo nusu ya wana wa Israeli utatwaa mmoja atakayetolewa katika kila hamsini, katika wanadamu, na katika ng'ombe, na katika punda, na katika kondoo, maana, katika wanyama wote, ukawape Walawi, hao wenye wajibu wa kuhudumu maskani ya BWANA.
Basi masazo ya hizo nyara walizotwaa watu wa vita, zilikuwa ni kondoo elfu mia sita na sabini na tano,