Sila naye akamzaa Tubal-kaini, mfua kila chombo cha kukatia, cha shaba na cha chuma; na dada yake Tubal-kaini alikuwa Naama.
Hesabu 31:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC lakini dhahabu, na fedha, na shaba, na chuma, na bati, na risasi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati na madini ya risasi, Biblia Habari Njema - BHND Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati na madini ya risasi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati na madini ya risasi, Neno: Bibilia Takatifu Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati, risasi, Neno: Maandiko Matakatifu Dhahabu, fedha, shaba, chuma, bati, risasi, BIBLIA KISWAHILI lakini dhahabu, na fedha, na shaba, na chuma, na bati, na risasi, |
Sila naye akamzaa Tubal-kaini, mfua kila chombo cha kukatia, cha shaba na cha chuma; na dada yake Tubal-kaini alikuwa Naama.
Basi Musa, na Eleazari kuhani, na wakuu wote wa huo mkutano, wakatoka nje kwenda kuwalaki nje ya kambi.
Kisha Eleazari kuhani akawaambia wanaume wa vita wote waliokwenda vitani, Hii ndiyo amri ya sheria BWANA aliyomwagiza Musa;
kila kitu kiwezacho kuuhimili moto, mtakipitisha katika moto, nacho kitakuwa safi, pamoja na haya kitatakaswa kwa hayo maji ya utakaso; na kila kitu kisichouhimili moto mtakipitisha katika hayo maji.
Lakini fedha yote, na dhahabu, na vyombo vya shaba, na chuma, ni vitakatifu kwa BWANA; vitaletwa katika hazina ya BWANA.
Isipokuwa mifugo na nyara za mji Israeli wakatwaa wenyewe kuwa ni mapato yao, sawasawa na hilo neno la BWANA alilomwamuru Yoshua.