Lakini hao wasichana wote ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
Hesabu 31:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo basi, waueni watoto wote wa kiume na kila mwanamke aliyewahi kulala na mwanamume. Neno: Bibilia Takatifu Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa, Neno: Maandiko Matakatifu Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa, BIBLIA KISWAHILI Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mwanamume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mwanamume kwa kulala pamoja naye. |
Lakini hao wasichana wote ambao hawakumjua mwanamume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
na BWANA, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga;
wakati BWANA, Mungu wako, atakapowatoa mbele yako, nawe utawapiga; wakati huo ndipo uwaondoe kabisa; usifanye agano nao, wala kuwahurumia; wala usioane nao;
Basi mkutano walipeleka huko watu elfu kumi na mbili wa hao waliokuwa mashujaa sana, kisha wakawaamuru, wakisema, Endeni mkawapige wenyeji wa Yabesh-gileadi kwa makali ya upanga, na hata wanawake na watoto wadogo.