Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Hesabu 26:61 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa. Biblia Habari Njema - BHND Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nadabu na Abihu walikufa walipomtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya moto usiofaa. Neno: Bibilia Takatifu Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za Mwenyezi Mungu kwa moto usioruhusiwa.) Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Nadabu na Abihu walikufa wakati walitoa sadaka mbele za bwana kwa moto usioruhusiwa.) BIBLIA KISWAHILI Tena Nadabu na Abihu wakafa, hapo waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA. |
Haruni akamwoa Elisheba, binti ya Aminadabu, dada yake Nashoni; naye akamzalia Nadabu, na Abihu, na Eleazari, na Ithamari.
Kisha Nadabu na Abihu walikufa mbele za BWANA, waliposongeza moto wa kigeni mbele za BWANA, katika jangwa la Sinai, nao walikuwa hawana wana; na Eleazari na Ithamari wakafanya kazi ya ukuhani wakati wa uhai wa Haruni baba yao.