Huenda wakapunguka watano katika wale hamsini wenye haki, je! Utaharibu mji wote kwa kupungua watano? Akasema, Sitauharibu, nikiona humo arubaini na watano.
Hesabu 26:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hawa ndio jamaa wa Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia nne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400. Biblia Habari Njema - BHND Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hizi ndizo koo za kabila la Naftali, jumla wanaume 45,400. Neno: Bibilia Takatifu Hizo zilikuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tano na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400. BIBLIA KISWAHILI Hawa ndio jamaa wa Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tano na mia nne. |
Huenda wakapunguka watano katika wale hamsini wenye haki, je! Utaharibu mji wote kwa kupungua watano? Akasema, Sitauharibu, nikiona humo arubaini na watano.