Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.
Hesabu 26:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Jamaa zote za Washuhamu, kama waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sitini na nne na mia nne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ukoo ulikuwa na wanaume 64,400. Biblia Habari Njema - BHND ukoo ulikuwa na wanaume 64,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ukoo ulikuwa na wanaume 64,400. Neno: Bibilia Takatifu Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa elfu sitini na nne na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Wote walikuwa koo za Washuhamu; wale waliohesabiwa walikuwa 64,400. BIBLIA KISWAHILI Jamaa zote za Washuhamu, kama waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sitini na nne na mia nne. |
Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.