Hesabu 26:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wana wa Bela walikuwa Ardi na Naamani; wa Ardi, jamaa ya Waardi; wa Naamani, jamaa ya Wanaamani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Koo za Ardi na Naamani, zilitokana na Bela. Biblia Habari Njema - BHND Koo za Ardi na Naamani, zilitokana na Bela. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Koo za Ardi na Naamani, zilitokana na Bela. Neno: Bibilia Takatifu Wazao wa Bela kutoka kwa Ardi na Naamani walikuwa: kutoka kwa Ardi, ukoo wa Waardi; kutoka kwa Naamani, ukoo wa Wanaamani. Neno: Maandiko Matakatifu Wazao wa Bela kutoka kwa Ardi na Naamani walikuwa: kutoka kwa Ardi, ukoo wa Waardi; kutoka kwa Naamani, ukoo wa Wanaamani. BIBLIA KISWAHILI Na wana wa Bela walikuwa Ardi na Naamani; wa Ardi, jamaa ya Waardi; wa Naamani, jamaa ya Wanaamani. |
Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia sita.