Hesabu 26:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hawa ndio jamaa wa Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na mia tano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Biblia Habari Njema - BHND Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Neno: Bibilia Takatifu Hizo zilikuwa koo za Zabuloni; wale waliohesabiwa walikuwa elfu sitini na mia tano. Neno: Maandiko Matakatifu Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500. BIBLIA KISWAHILI Hawa ndio jamaa wa Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na mia tano. |