Basi BWANA akawaletea Israeli tauni tangu asubuhi hadi wakati ulioamriwa; nao wakafa watu elfu sabini toka Dani mpaka Beer-sheba.
Hesabu 25:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nao waliokufa kwa pigo hilo idadi yao ilikuwa elfu ishirini na nne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Waliokufa kutokana na maradhi yale mabaya walikuwa watu 24,000. Biblia Habari Njema - BHND Waliokufa kutokana na maradhi yale mabaya walikuwa watu 24,000. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Waliokufa kutokana na maradhi yale mabaya walikuwa watu 24,000. Neno: Bibilia Takatifu Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu elfu ishirini na nne. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000. BIBLIA KISWAHILI Nao waliokufa kwa pigo hilo idadi yao ilikuwa elfu ishirini na nne. |
Basi BWANA akawaletea Israeli tauni tangu asubuhi hadi wakati ulioamriwa; nao wakafa watu elfu sabini toka Dani mpaka Beer-sheba.
Ikawa baada ya hilo pigo, BWANA akanena na Musa na Eleazari, mwana wa Haruni kuhani, na kuwaambia,
Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie BWANA dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hiyo pigo lilikuwa katika mkutano wa BWANA.
Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu elfu ishirini na tatu.