Na jina la huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa, aliitwa Kozbi, binti Suri; naye alikuwa kichwa cha watu wa nyumba ya baba zake huko Midiani.
Hesabu 25:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia, |
Na jina la huyo mwanamke Mmidiani aliyeuawa, aliitwa Kozbi, binti Suri; naye alikuwa kichwa cha watu wa nyumba ya baba zake huko Midiani.
Walipizie kisasi wana wa Israeli juu ya Wamidiani; kisha baadaye utakusanywa uwe pamoja na watu wako.