Hesabu 25:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo mwambie kwamba ninafanya naye agano la amani. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya agano langu la amani naye. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo mwambie Finehasi ninafanya Agano langu la amani naye. BIBLIA KISWAHILI Basi kwa hiyo, sema, Tazama, nampa yeye agano langu la amani; |
Maana milima itaondoka, na vilima vitaondolewa; bali wema wangu hautaondoka kwako, wala agano langu la amani halitaondolewa; asema BWANA akurehemuye.
Nami nitafanya agano la amani nao, nami nitawakomesha wanyama wakali kati yao; nao watakaa salama jangwani, na kulala misituni.
Tena nitafanya agano la amani pamoja nao; litakuwa agano la milele pamoja nao; nami nitawaweka na kuwazidisha, na patakatifu pangu nitapaweka katikati yao milele.
Bali ninyi mmegeuka mkaiacha njia; mmewakwaza watu wengi katika sheria; mmeliharibu agano la Lawi, asema BWANA wa majeshi.
Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijia katika hekalu lake ghafla; naam, yule mjumbe wa agano mnayemfurahia, angalieni, anakuja, asema BWANA wa majeshi.
Amaleki anakaa katika nchi ya Negebu; na Mhiti, na Myebusi, na Mwamori wanakaa katika milima, na Mkanaani anakaa karibu na bahari; na kando ya ukingo wa Yordani.