Tena itakuwa, Moabu akionekana, na kujichosha kwa kulia juu ya mahali pa juu, na kuingia katika patakatifu pake aombe, hatapata kushinda.
Hesabu 22:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika Kiriath-husothi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika mjini Kiriath-husothi. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika mjini Kiriath-husothi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika mjini Kiriath-husothi. Neno: Bibilia Takatifu Kisha Balaamu alienda na Balaki hadi Kiriath-Husothi. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Balaamu alikwenda na Balaki mpaka Kiriath-Husothi. BIBLIA KISWAHILI Balaamu akaenda pamoja na Balaki wakafika Kiriath-husothi. |
Tena itakuwa, Moabu akionekana, na kujichosha kwa kulia juu ya mahali pa juu, na kuingia katika patakatifu pake aombe, hatapata kushinda.
Balaamu akamwambia Balaki, Tazama, nimekujia. Je! Mimi sasa nina uwezo wowote kusema neno lolote? Neno lile Mungu atakalolitia kinywani mwangu, ndilo nitakalolisema.
Balaki akachinja ng'ombe, na kondoo, akampelekea Balaamu na wale wakuu waliokuwa pamoja naye.