Hesabu 16:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haruni akamrudia Musa pale mlangoni pa hema ya kukutania; hiyo tauni ikazuiwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pigo lilipokoma, Aroni alirudi kwa Mose mlangoni mwa hema la mkutano. Biblia Habari Njema - BHND Pigo lilipokoma, Aroni alirudi kwa Mose mlangoni mwa hema la mkutano. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pigo lilipokoma, Aroni alirudi kwa Mose mlangoni mwa hema la mkutano. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Haruni akamrudia Musa kwenye mlango wa Hema la Kukutania, kwa maana tauni ilikuwa imekoma. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Haruni akamrudia Musa kwenye mlango wa Hema la Kukutania, kwa maana tauni ilikuwa imekoma. BIBLIA KISWAHILI Haruni akamrudia Musa pale mlangoni pa hema ya kukutania; hiyo tauni ikazuiwa. |
Basi waliokufa kwa tauni walikuwa elfu kumi na nne na mia saba, zaidi ya hao waliokufa katika jambo la Kora.