Basi ilikuwa, hapo huo mkutano ulipokuwa umekutanika kinyume cha Musa, na kinyume cha Haruni, wakaangalia upande wa hema ya kukutania; na tazama, hilo wingu likaifunika hema, na utukufu wa BWANA ukaonekana.
Hesabu 16:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na Musa na Haruni wakaenda hapo mbele ya hema ya kukutania. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose na Aroni walikwenda, wakasimama mbele ya hema la mkutano, Biblia Habari Njema - BHND Mose na Aroni walikwenda, wakasimama mbele ya hema la mkutano, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose na Aroni walikwenda, wakasimama mbele ya hema la mkutano, Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Musa na Haruni wakaenda mbele ya Hema la Kukutania, Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Musa na Haruni wakaenda mbele ya Hema la Kukutania, BIBLIA KISWAHILI Na Musa na Haruni wakaenda hapo mbele ya hema ya kukutania. |