Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




Hesabu 16:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Kisha Musa akamwambia Kora, Wewe na mkutano wako wote kuweni hapa mbele ya BWANA kesho, wewe, na wao, na Haruni;

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Mose akamwambia Kora, “Kesho usikose kuja pamoja na wafuasi wako mbele ya Mwenyezi-Mungu. Aroni pia atakuwapo.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Mose akamwambia Kora, “Kesho usikose kuja pamoja na wafuasi wako mbele ya Mwenyezi-Mungu. Aroni pia atakuwapo.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Mose akamwambia Kora, “Kesho usikose kuja pamoja na wafuasi wako mbele ya Mwenyezi-Mungu. Aroni pia atakuwapo.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Musa akamwambia Kora, “Wewe na wafuasi wako wote kesho mtatokea mbele za Mwenyezi Mungu: wewe na hao wenzako, pamoja na Haruni.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Musa akamwambia Kora, “Wewe na wafuasi wako wote kesho mtatokea mbele za bwana: yaani wewe na hao wenzako, pamoja na Haruni.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Kisha Musa akamwambia Kora, Wewe na mkutano wako wote kuweni hapa mbele za BWANA kesho, wewe, na wao, na Haruni;

Tazama sura
Tafsiri zingine



Hesabu 16:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akamwambia Haruni, Haya, sema na mkutano wote wa wana wa Israeli, Njoni karibu mbele ya BWANA; kwa kuwa yeye ameyasikia manung'uniko yenu.


BWANA akanena ghafla na Musa, na Haruni na Miriamu, na kuwaambia, Tokeni nje ninyi watatu, mwende hemani mwa kukutania. Basi hao watatu wakatoka nje.


Musa akakasirika sana, akamwambia BWANA. Usiikubali sadaka yao; mimi sikutwaa hata punda mmoja kwao, wala sikumwumiza hata mtu mmoja miongoni mwao.


mkatwae kila mtu chetezo chake, na kutia uvumba juu yake, mkavilete mbele za BWANA, vyetezo mia mbili na hamsini; wewe pia, na Haruni, kila mtu na awe na chetezo chake.


Uwakumbushe mambo hayo, ukiwaonya machoni pa Mungu, wasiwe na mashindano ya maneno, ambayo hayana faida, bali huwaharibu wanaoyasikia.


Nami nipo hapa; basi, mnishuhudie mbele za BWANA, na mbele ya masihi wake, nilitwaa ng'ombe wa nani? Au nilitwaa punda wa nani? Au ni nani niliyemdhulumu? Ni nani niliyemwonea? Au kwa mkono wa nani nimepokea rushwa inipofushe macho? Nami nitawarudishia ninyi.


Basi sasa simameni, ili niwahutubie mbele za BWANA, kwa kutaja matendo yote ya haki ya BWANA, aliyowatendea ninyi na baba zenu.