Basi mkutano wote wakampeleka nje ya kambi, nao wakampiga kwa mawe, akafa; kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Hesabu 15:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha BWANA akasema na Musa, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose: Biblia Habari Njema - BHND Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose: Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akasema na Musa, na kumwambia, |
Basi mkutano wote wakampeleka nje ya kambi, nao wakampiga kwa mawe, akafa; kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Nena na wana wa Israeli, na kuwaagiza ya kwamba wajifanyie vishada katika ncha za nguo zao, katika vizazi vyao, tena ya kwamba watie katika kila kishada cha kila ncha nyuzi za rangi ya buluu;
Na kila alikokwenda, akiingia vijijini, au mijini, au mashambani, wakawaweka wagonjwa sokoni, wakamsihi waguse angaa pindo la vazi lake; nao wote waliomgusa wakapona.