nao wawaamue watu hawa sikuzote; kisha, kila neno lililo kubwa watakuletea wewe, lakini kila neno dogo wataliamua wenyewe; basi kwako wewe mwenyewe utapata nafasi zaidi, nao watauchukua huo mzigo pamoja nawe.
Hesabu 15:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hao waliomwona akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni, na kwa mkutano wote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, mtu huyo akapelekwa mbele ya Mose, Aroni na jumuiya yote. Biblia Habari Njema - BHND Basi, mtu huyo akapelekwa mbele ya Mose, Aroni na jumuiya yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, mtu huyo akapelekwa mbele ya Mose, Aroni na jumuiya yote. Neno: Bibilia Takatifu Wale waliomkuta akikusanya kuni wakamleta kwa Musa, na Haruni na kusanyiko lote, Neno: Maandiko Matakatifu Wale waliomkuta akikusanya kuni wakamleta kwa Musa, Haruni na kusanyiko lote, BIBLIA KISWAHILI Hao waliomwona akikusanya kuni wakamleta kwa Musa na Haruni, na kwa mkutano wote. |
nao wawaamue watu hawa sikuzote; kisha, kila neno lililo kubwa watakuletea wewe, lakini kila neno dogo wataliamua wenyewe; basi kwako wewe mwenyewe utapata nafasi zaidi, nao watauchukua huo mzigo pamoja nawe.
Kisha wakati huo wana wa Israeli walipokuwako jangwani, wakamwona mtu mmoja akikusanya kuni siku ya Sabato.