Basi Mwamaleki na Mkanaani wakaa katika bonde; kesho geukeni, mkaende jangwani kwa njia iendayo Bahari ya Shamu.
Hesabu 14:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni, Biblia Habari Njema - BHND Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Mwenyezi-Mungu akamwuliza Mose na Aroni, Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni: Neno: Maandiko Matakatifu bwana akamwambia Musa na Haruni: BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, |
Basi Mwamaleki na Mkanaani wakaa katika bonde; kesho geukeni, mkaende jangwani kwa njia iendayo Bahari ya Shamu.
Je! Nivumilie na mkutano mwovu huu uninung'unikiao hadi lini? Nimesikia manung'uniko ya wana wa Israeli, waninung'unikiayo.
Kwa kuwa BWANA alisema juu yao, Hapana budi watakufa nyikani. Napo hapakusalia mtu mmoja miongoni mwao, isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune, na Yoshua mwana wa Nuni.