Jina la mahali pale likaitwa Kibroth-hataava; maana, ni hapo walipowazika hao watu waliotamani.
Hesabu 11:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko. Biblia Habari Njema - BHND Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko. Neno: Bibilia Takatifu Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri hadi Haserothi na kukaa huko. Neno: Maandiko Matakatifu Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko. BIBLIA KISWAHILI Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi. |
Jina la mahali pale likaitwa Kibroth-hataava; maana, ni hapo walipowazika hao watu waliotamani.
Haya ndiyo maneno Musa aliyowaambia Israeli wote ng'ambo ya Yordani nyikani, katika Araba lililoelekea Sufu, kati ya Parani, na Tofeli, na Labani, na Hazerothi, na Dizahabu.