Katika wana wa Naftali, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hesabu 1:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wale waliohesabiwa katika kabila la Naftali, walikuwa watu elfu hamsini na tatu na mia nne (53,400). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 53,400. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 53,400. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 53,400. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu elfu hamsini na tatu na mia nne. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Naftali walikuwa watu 53,400. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Naftali, walikuwa watu elfu hamsini na tatu na mia nne (53,400). |
Katika wana wa Naftali, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hao ndio waliohesabiwa, ambao Musa na Haruni na wale wakuu wa Israeli watu kumi na wawili waliwahesabu; walikuwa kila mmoja kwa ajili ya nyumba ya baba zake.
Hawa ndio jamaa wa Naftali kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia nne.