Naye Yoabu akamtolea mfalme jumla ya hesabu ya watu; nao walikuwa wa Israeli mashujaa elfu mia nane wenye kufuta panga; nao wa Yuda walikuwa watu elfu mia tano.
Hesabu 1:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wale waliohesabiwa katika kabila la Yuda, walikuwa watu elfu sabini na nne na mia sita (74,600). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 74,600. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 74,600. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 74,600. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu elfu sabini na nne na mia sita. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Yuda, walikuwa watu elfu sabini na nne na mia sita (74,600). |
Naye Yoabu akamtolea mfalme jumla ya hesabu ya watu; nao walikuwa wa Israeli mashujaa elfu mia nane wenye kufuta panga; nao wa Yuda walikuwa watu elfu mia tano.
Katika wana wa Yuda, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Isakari, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kwa hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;