Katika wana wa Simeoni, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, wale waliohesabiwa kama hesabu ya majina, kichwa kwa kichwa, kila mwanaume kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Hesabu 1:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC wale waliohesabiwa katika kabila la Simeoni, walikuwa watu elfu hamsini na tisa na mia tatu (59,300). Matoleo zaidiBiblia Habari Njema walikuwa watu 59,300. Biblia Habari Njema - BHND walikuwa watu 59,300. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza walikuwa watu 59,300. Neno: Bibilia Takatifu Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu elfu hamsini na tisa na mia tatu. Neno: Maandiko Matakatifu Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300. BIBLIA KISWAHILI wale waliohesabiwa katika kabila la Simeoni, walikuwa watu elfu hamsini na tisa na mia tatu (59,300). |
Katika wana wa Simeoni, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, wale waliohesabiwa kama hesabu ya majina, kichwa kwa kichwa, kila mwanaume kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Katika wana wa Gadi, kwa kufuata vizazi vyao, jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;
Basi jina la Mwisraeli huyo aliyeuawa pamoja na yule mwanamke Mmidiani, aliitwa Zimri, mwana wa Salu, mkuu wa nyumba ya baba zake, katika kabila la Simeoni.